alphaigogo.com
Kuna watu ambao wapo hatarini kufutiwa uraia wa Tanzania! - alphaigogo.com
Hii ni kwa wana Diaspora wenzangu tu wengine someni halafu mpite kimya! Kabla hamjaweka miguu yenu barabarani kwenda huko mnako kwenda naomba kwanza uhakiki uraia wako. Je, wewe bado ni Mtanzania au ulisha ukana uraia wako? Kumbuka Tanzania haina Dual citizenship! Na kama bado wewe ni raia wa Tanzania je, umeshaagana na ndugu zako kwamba … Continue reading Kuna watu ambao wapo hatarini kufutiwa uraia wa Tanzania! →