alphaigogo.com
Kama wewe ni mpangaji usimdharau mmiliki wa nyumba ya udongo! - alphaigogo.com
Kama wewe unaishi kwenye nyumba ya kupanga usimdharau yule anayemiliki nyumba ya udongo! Hauna haki ya kufanya hivyo! Kwani wewe unayeishi nyumba ya kupanga hauna uwezo au nguvu ya kutosha kumiliki hata ardhi ya kujenga nyumba ya udongo. Nasiku ikatokea hauna kazi au ajali ya ulemavu ikakukuta ukashindwa kufanya shughuli za kuzalisha pesa inamaana utashindwa … Continue reading Kama wewe ni mpangaji usimdharau mmiliki wa nyumba ya udongo! →