alphaigogo.com
Joyce Kiria: Wamejikuta wanakubaliana na IMANI ya KUVUMILIA hali walizonazo - alphaigogo.com
Regrann from @joycekiriasuperwoman – Watu wengi wamenasa katika mtego wa kuamini kuwa hawana uwezo wa kupata ufumbuzi wa matatizo waliyonayo, kwa sababu wamejikuta wanakubaliana na IMANI ya KUVUMILIA hali walizonazo. Wacha nikwambaie, Haujaumbwa ili kuvumilia matatizo yanayokukabili, umeumbwa ili UYATATUE na upige hatua. Chunguza matatizo yanayokuzunguka Leo na ujiambie nafsi yako ” HATA TATIZO HILI … Continue reading Joyce Kiria: Wamejikuta wanakubaliana na IMANI ya KUVUMILIA hali walizonazo →