alphaigogo.com
Joyce Kiria: MWANAMKE PIGA KAZI KWENYE NDOA FUATA MAHABA - alphaigogo.com
IVI DUNIA YA LEO BADO KUNA MWANAUME ANAKATAZA MKE KUJITAFTIA KIPATO???? ------ Jamani Kuolewa kunatakiwa kukubadilisha tu kuwa umetoka kuishi mwenyewe na sasa unaishi na mwanaume lakini sio ubadilishwe kutoka kwenye kazi uwe mama wa nyumbani. Halafu kuna wanaume wanatumia hicho kama kigezo kisa kujifanya wana wivu kuhisi labda mwanamke akitoka kwenda kazini atakuwa na … Continue reading Joyce Kiria: MWANAMKE PIGA KAZI KWENYE NDOA FUATA MAHABA →