alphaigogo.com
"Inawezekana mno ukiamua" ~~ Zamaradi Mketema - alphaigogo.com
Reposted from @zamaradimketema – Unaweza ukawa na rafiki au jamaa unaemuamini sana au mlietengeneza Bond kubwa lakini ukaja gundua kuna mambo anafanya nyuma yako yasiyofaa dhidi yako/sio mtu mzuri ila UKASHINDWA KUJITOA KWAKE. kwa kuogopa kumpoteza ukajikuta unajitafutisha hata sababu mwenyewe za kukataa ubaya wake alioufanya, na hata kugoma kuuona (kutafuta excuses/kuwa In Denial) kutokana … Continue reading “Inawezekana mno ukiamua” ~~ Zamaradi Mketema →