alphaigogo.com
Hujafa hujaumbika: Mariah Carey amegundulika na Bipolar disorder - alphaigogo.com
Wahenga walisema hujafa hujaumbika hawakukosea bali walitaka watu wajifunze kuishi kwa unyenyekevu bila kudharau wengine kwani kama bado hatujakuchimbia kaburi lako tegemea kupatwa na kitu chochote kila kibaya au kizuri! Just be humble! Kuna watu wengi ukiwaona utadhani wapo vyema kabisa kiafya na kiroho, kumbe ni wagonjwa kama siyo kiroho, basi kimwili, au kiakili! Tena humu … Continue reading Hujafa hujaumbika: Mariah Carey amegundulika na Bipolar disorder →