alphaigogo.com
Hongera sana Mh. Jerry Muro - alphaigogo.com
"Namshukuru Mungu kwa Kunipa Kibali cha Kumsaidia kazi Mhe, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika Nafasi Ya Ukuu wa Wilaya ya Arumeru, Nakushuru Mhe, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Viongozi wote Waandamizi wa Serikali kwa kunipa Jukumu Hili la kuwatumikia wananchi wa Meru.#WakatiWetu #MeruYetu #TanzaniaYetu" Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa … Continue reading Hongera sana Mh. Jerry Muro →