alphaigogo.com
HABARI NZURI KWA WATANZANIA WOTE - alphaigogo.com
HABARI NZURI KWA WATANZANIA WOTE •Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa. •Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018). •Hatua inayofuata ambayo kimsingi ndiyo ya mwisho ni Pre Flight … Continue reading HABARI NZURI KWA WATANZANIA WOTE →