alphaigogo.com
Embu tucheke kidogo! Eti wewe waonaje kwa hili? - alphaigogo.com
Juzi kati niliweka tangazo la msiba wa ndugu yangu kwa hii blog , nikaambatanisha na picha ambazo tulipiga akiwa hai ambapo ilikuwa mara ya mwisho kuonana naye Tazama hapa 👉👉 (Tanzia). Sasa kuna mtu ameweka comment akishangazwa na picha niliyotumia kwani tulikuwa tuna tabasamu. Anasema tunatangazaje kifo kwa furaha hivyo? Soma 👇👇 Nimecheka kwani kwangu imekuwa … Continue reading Embu tucheke kidogo! Eti wewe waonaje kwa hili? →