alphaigogo.com
Dina Marios: Usifanye makosa ukaangalia safari ya mwenzako - alphaigogo.com
Subira na Uvumilivu ni muhimu sana katika safari ya kukimbiza ndoto zetu na mafanikio yetu. Ni muhimu kukubali kuwa matokeo mazuri ya juhudi zetu hayaji kwa haraka au Papo kwa papo. Lakini wakati ukipitia hatua muhimu ndogo ndogo za matokeo madogo madogo jua upo tayari njiani. Inawezekana unajua au hujui sababu wewe ni aina ya … Continue reading Dina Marios: Usifanye makosa ukaangalia safari ya mwenzako →