alphaigogo.com
Binadamu kama Nyani! - alphaigogo.com
Kuna binadamu wenye tabia za kama huyu Nyani anaye mvuta mwenzie mkia. Yani mtu anatumia nguvu za ziada kutaka kumuangusha fulani kwasababu tu anamzidi mahala fulani. Ukweli usiopingika ni kwamba nguvu anyopoteza kumvuta mwenzake chini ni kubwa sana kuliko nguvu ambayo angetumia kufikiria apandaje juu ya mti! Kama angeweza kujitathimini na kujua wapi anakosea halafu … Continue reading Binadamu kama Nyani! →