8020fashionsblog.co.tz
Sababu ya Watu Wengi kushindwa ku save /kuwekeza | 8020Fashions Blog
KINACHOSABABISHA wengi wetu kukosa hamasa ya kusave/kuwekeza ni ile hali ya kuiona safari hii kuwa ndefu sana na kufikiria pengine hata tunachokifanya kisije kutunufaisha sisi bali wale waliobaki. Na hii inaletwa na ule mtazamo wa kudhani kusave/kuwekeza ni kwa ajili ya maisha wakati wa “retirement” ambayo definition yake kwetu ni miaka 60. Sasa unaanza kujiuliza,