8020fashionsblog.co.tz
Pata Muonekano ::: My 40th Birthday Look | 8020Fashions Blog
Jana 14th January ilikua birthday yangu na nimetimiza miaka 40 ,Yes fabulous 40. #happybirthdaytome #badass#capricornbaby #fabulous40 #Fabfitmom #lifestartat40 #celebrating40years Sina maneno meengi yakusema zaidi ya kutumia #hashtag . Wanasema maisha yanaanza miaka 40, leo ndo naanza maisha??‍♀️ . Kikubwa ni kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kuishi miaka 40 katika dunia yake na naomba aniwezeshe nitimize ndoto yangu ya kuwaachia