8020fashionsblog.co.tz
Kim Kardashian and her Kida On Vogue May Issue | 8020Fashions Blog
Kim alikua na dream ya kua kwenye front cover ya Vogue Magazine na this time kwenye their May Issue atakua yeye,exciting ???Hell Yassss Jamani unaweza usione kwamba ni big deal but US Vogue issue is not a simple simple thing ,maana kule wanaingia watu watakaobaki kua juuuuu. Alishawahi kua kwanye cover hilo ila akiwa na