8020fashionsblog.co.tz
KIASI GANI CHA FEDHA UNATAKIWA KU SAVE KUTOKANA NA UMRI WAKO. | 8020Fashions Blog
Ulishawahi kukaa na kufikiria kiasi gani cha fedha ulitakiwa ku save kutokana na umri wako?Hivi ndo maisha yatakavyokua kama hauta chukua hatua na kuanza ku save ••MIAKA 20 -Me bado mdogo doing my thing πŸ’„πŸ’ƒπŸΌπŸ’…πŸ½kinge kingiiiiii ,ndo wale i want to have fun nna miaka kibao nta save mbeleni. MIAKA 30 – Niko kwenye relationship