8020fashionsblog.co.tz
Fahamu tofauti kati ya Mkopo Mzuri na Mkopo Mbaya | 8020Fashions Blog
FAHAMU tofauti kati ya mkopo mzuri na mkopo mbaya. Mkopo mzuri ni ule unaoweka pesa mfukoni mwako—yani unautumia kufanya kitu ambacho kitalipa mkopo pamoja na riba yake halafu kikupe na faida juu.Mkopo mbaya ni ule unaochomoa pesa kutoka mfukoni mwako. Umechukua mkopo umeweka kwenye kitu ambacho kwanza sio cha msingi (hakikuingizii pesa) na bado unaingia