8020fashionsblog.co.tz
Elizabeth Michael Anatupa Tips zake anazotumia akipitia wakati mgumu | 8020Fashions Blog
Ni actress wa Bongo Movie Elizabeth Michael akijulikana kama Lulu ,kupitia youtube channel yake ameelezea mashabiki zake anavyofanya kukabiliana na wakati mgumu akipitia. Akasema ukipitia wakati mgumu usi fight ile hali hapana cha kwanza wewe ikubali hali ile.