8020fashionsblog.co.tz
DStv yawasha moto kuelekea AFCON U17 | 8020Fashions Blog
Katika kuhakikisha kuwa Tanzania inaendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya kimataifa na Watanzania kushuhudia mubashara timu yao DStv imetangaza rasmi kuwa itarusha mubashara michuano ya kombe la AFCON U17 2019 na hivyo kutangaza kampeni maalum ya kuhamasisha ushindi kwa timu yetu ya Serengeti Boys! Akizungumza katika hafla ya kuzindua kampeni hiyo ya DStv ijulikanayo