8020fashionsblog.co.tz
DStv kupitia chaneli yake ya Supersort 3 saa 1:30 usiku wanakuletea Live mechi kati ya Everton na Chelsea | 8020Fashions Blog
Mtazamo wako wa muhimu ukiwa kama mdau wa soka Kati ya Everton na Chelsea. Je Nani kukalishwa Jumapili hii….? DStv kupitia chaneli yake ya Supersort 3 saa 1:30 usiku watakuletea live uhondo huu! Na Kama unatumia kifurushi Bomba 19,000 lipia sasa Kifurushi Family 39,000 na utapewa kifurushi Compact 69,000 bila malipo ya ziada.