8020fashionsblog.co.tz
DSTV kuonyesha Mechi ya Jumamosi hii kati ya Mnyama na As Vital | 8020Fashions Blog
Hatoki mtu hapa mapaka kieleweke,Jumamosi hii patakuwa hapatoshi Taifa pale ambapo Mnyama Simba wanapowakaribisha AS Vital ndani ya #CAF. Na Kama kawaida kupitia Dstv Chaneli 204 utapata kushuhudia live mechi hii saa 1:00 usiku kwa kifurushi Bomba 19,000 tu @dstvtanzania