8020fashionsblog.co.tz
Cozy Cafe for lunch ,cateringservices ,weddings bridalshowers . | 8020Fashions Blog
Leo niwatambulishe kijiwe kipyaaaa mujini ambako kuna ukumbi wa kisure ( mi nauita ukumbi unaoeleya) yaani unakuwa kama uko kwa boat hivi 🤪.Kwa shughuli ya watu wachache kama engagement/ bridalshower / birthday/ secretSanta hata sendoff kama si wedding watu siku hizi hawataki Shanzii shughulini WATU 50 -100hivi mnatosha.Raha iko hapa kwa 25,000 kwa kichwa mtapambiwa