8020fashionsblog.co.tz
Best Dressed at the Grammy's 2019 | 8020Fashions Blog
Tuzo za Grammy zimefanyika na mwaka huu ulikua wa kihistoria sababu Alicia Keys ndo alikua host,na ndani ya miaka 14 hakuna any black woman alihost hizi Award baada ya Queen Latifah. Tucheki walivyovaa kwa red carpet.