8020fashionsblog.co.tz
Barcelona vs Liverpool kwa DSTV | 8020Fashions Blog
Kwenye UEFA Champions league hali si shwari , Tottenham wapigwa 1 jana na Ajax, leo ni zamu ya Barcelona vs Liverpool, Je matokeo yatakuwa vile wengi wanavyo yategemea? Lipia @dstvtanzania yako kuangalia mechi hii LIVE kupitia SS5 kifurushi Compact Plus. #SSFootball#MotoHauzimi