thechoicetz.com
Waziri wa Elimu,NECTA mbona mko kimnya juu ya vyeti vya Makonda ? - The Choice
Share this on WhatsApp Hakika hadi imekuwa kero sasa kila kona kuhusiana na hili swala la shutuma juu ya RC MAKONDA kughushi vyeti.Ninacho jiuliza kichwani mwangu kwani vyombo husika kuhusiana na vyeti si vipo..Sasa kwanini havitoi matamko yeyote yale au ndo kusema wanafanya kazi kwa woga. Waziri wa elimu ni jukumu lako kuingilia kati swalaRead More