thechoicetz.com
TANESCO Hapakaliki.....Wakurugenzi Wengine Watatu Watumbuliwa - The Choice
Vigogo watatu ambao ni wakurugenzi katika Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), makao makuu Dar es Salaam, wameshushwa vyeo huku mmoja akiamua kuacha kazi mwenyewe. Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Rais Dk. John Magufuli atengue uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Mhandisi Felchesmi Mramba. Mramba alitenguliwa uteuzi wake siku chache baadaRead More