thechoicetz.com
Sakata la Makonda: Mbwana Samatta afunguka kuhusu siasa za Bongo - The Choice
Share this on WhatsApp BAADA ya kuvamiwa kwa Kituo cha Redio cha Clouds Fm, imeibuka mijadala mingi, Watanzania wakaijadili kila kona ya nchi. Katika mijadala hiyo, wapo wanasiasa, watumishi wa umma, waumini wa dini na wanamichezo ambapo mchezaji wa Taifa Stars anayekipiga nchini Ubelgiji katika Klabu ya Genk, Mbwana Samatta amefunguka kuwa wanasiasa wanakosa maadili.Read More