thechoicetz.com
Sababu 6 za harufu mbaya sehemu za siri - The Choice
1. Uchafu 2. Kujisafisha kupitiliza ambako huondoa bacteria wa asili ambao ni muhimu kwa viungo hivyo 3. Kuvaa nguo zilizobana kupita kiasi au zito 4. Kutumia vyakula vyenye viungo vingi 5. Kutumia sabuni zenye kemikali nyingi sehemu za siri 6. Kufulia nguo za ndani na sabuni zenye kemikali nyingi Kwa maelezo zaidi na ushauri wasilianaRead More