thechoicetz.com
Rekodi ya Yanga SC ndani ya miaka 10 ikicheza nyumbani/ugenini michuano ya Caf - The Choice
Share this on WhatsApp Wawakili waTanzania Bara katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, timu ya Yanga SC Jumamosi hii watakuwa na kibarua kigumu kuhakikisha wanaishinda na kuiondoa Zanaco FC ya Zambia na kufuzu kwa hatua ya makundi kwa mara ya pili katika ligi ya mabingwa Afrika. Timu hizo mbili zilifungana 1-1 wiki iliyopita katikaRead More