thechoicetz.com
Profesa Jay ataja jina la albamu yake ijayo, afunguka kuhusu Harmorapa - The Choice
Share this on WhatsApp Rapper mkongwe nchini Profesa Jay amefunguka kwa kutaja jina la albamu yake itakayokuja pamoja na kumzungumzia Harmorapa ambaye kwa sasa amekuwa akiteka vichwa vya habari. Akiongea na kipindi cha Twenzetu cha Times FM Jumatano hii, Jay amesema amepanga kuachia albamu yake mpya ambayo itajulikana kama ‘The Icon’. “Nimepanga kuja na albamu.Read More