thechoicetz.com
Nisha: Sitamtambulisha mpenzi wangu tena - The Choice
Share this on WhatsApp Msanii machachari wa bongo movie Nisha Bebe amesema hatorudia kosa la kumtambulisha mpenzi wake kwa sasa bali atamtambulisha mume wake akiwa tayari. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Nisha amesema “Sirudii makosa kwa sasa hivi wasitarajie kumsikia mpenzi wangu wala kumtambulisha kwa jamii mtu nitakaye kuja kumtambulisha ni mume wangu ambaye tayariRead More