thechoicetz.com
Mwanzo Nape alionekana Msaliti,Hakika sasa ndo shujaa wa kweli. - The Choice
Share this on WhatsApp Kipindi kile wakati Waziri Nape akipinga njia iliyotumika katika kuwatangaza wahusika wa madawa ya kulevya iliyo ongozwa na RC Paul Makonda,Hakika alionekana ni msaliti na hata wengine kumuona kama naye anashirikiana nao katika biashara hiyo,ila kutokana na ukomavu wake kisiasa aliamua kukaa kimnya na kuona kitu gani kitatokea hatimaye wote tumeshuhudiaRead More