thechoicetz.com
Mwanamke wa kwanza kugombea urais Tanzania afariki dunia - The Choice
Share this on WhatsApp Mwanamke wa kwanza kugombea urais nchini Tanzania, Dkt. Anna Senkoro amefariki dunia leo ambapo Hospitali ya Taifa Muhimbili imethibitisha kutokea kwa kifo hicho. Dkt. Senkoro ndiye mwanamke wa kwanza kugombea urais nchini Tanzania ambapo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 alipeperusha bendera ya chama za PPT- Maendeleo. Katika uchaguzi huo mgombeaRead More