thechoicetz.com
MWANAMKE MTANZANIA AKAMATWA NA MADWA YA KULEVYA INDONESIA,MWENZAKE KAUWAWA - The Choice
INDONESIA: Mwanamke Mtanzania akamatwa akiwa na Wanigeria wawili wakijaribu kuingiza mihadarati. Mnigeria mmoja ameuawa akijaribu kutoroka. Mtanzania huyo alikamatwa siku ya jumatano katika Jiji la Jakarta. Baada ya upekuzi Mtanzania huyo akutwa na gramu 138 za Crystal Methamphetamine, kete nyingine 66 za Crystal Methamphetamine alikuwa amezimeza na gramu 3 za bangi alizoficha kwenye nguo yakeRead More