thechoicetz.com
Mbunge Zitto Kabwe awaambia waandishi kutoandika habari zozote za Serikali hadi serikali ifanye haya - The Choice
Share this on WhatsApp Mkuu wa Mkoa anavamia chumba cha habari binafsi Kwa mitutu ya Bunduki na Askari wa Umma. Wananchi wanalalamika kuhusu uvamizi huu ikiwemo Waziri, Wabunge, Wamiliki Wa vyombo vya habari na waandishi wenyewe. Rais bila kumung’unya maneno anatamka hadharani kuwa Mkuu wa Mkoa aendelee na kazi zake. Hii maana yake ni kwambaRead More