thechoicetz.com
MAKUBWA! Baby Madaha na Isabela Wahisiwa Wanasagana - The Choice
Share this on WhatsApp Kioja! Mastaa wawili wasioishiwa vituko wanaounda Kundi la Muziki la Scorpion Girls, Baby Madaha na Isabela Mpanda, wikiendi iliyopita waliwaacha watu midomo wazi baada ya kujiachia kimahaba kama mtu na mpenziwe. Baby Madaha na Isabela walilishana keki kwa staili ya njiwa ‘kugusanisha midomo’ ikiwa ni kwenye sherehe ya bethidei ya IsabelaRead More