thechoicetz.com
Makonda Azidi Kupigwa Kila Kona..Machangudoa Waungana Kuanzisha Mtandao Huu Hatari Ili Kumkabili - The Choice
Share this on WhatsApp BAADA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuelezea mafanikio aliyoyapata, changamoto alizokutana nazo na mipango inayofuata ya mwaka wake wa pili aliouanza, wanawake wanaofanya biashara ya ‘uchuuzi wa mwili’ (machangudoa), wameibuka na mbinu mpya ya kumdhibiti kiongozi huyo ili asiwabughudhi. Uchunguzi uliofanywa na Risasi Jumamosi umebaini kwamba,Read More