thechoicetz.com
Mabasi haya kufungiwa baada ya kuandika maneno haya kwenye TIKETI ZAO - The Choice
Share this on WhatsApp Daladala zitokazo mbagara kwenda kivukoni kutoka kampuni moja imejitia katika matatizo baada ya kuandika maneno yasiyofaa kwenye Tiketi zao.Tiketi hizo zinazo onyesha Jina la Kampuni na namba za gari zimekuwa gumzo kwa raia watumiao mitandao Tanzania. 3,435 total views, 4 views today Facebook Comments Share this on WhatsApp