thechoicetz.com
Lwandamina apata Mrithi wa Ngoma, Huyu Hapa - The Choice
Share this on WhatsApp YANGA imewapa nyota wake mapumziko ya siku mbili hadi kesho Jumapili kabla ya kuanza kujifua na mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui, lakini habari njema kwa mashabiki wake ni kwamba, mrithi wa Donald Ngoma amepatikana. Ngoma na Amissi Tambwe wamekosekana kwa muda mrefu ndani ya kikosi cha YangaRead More