thechoicetz.com
JINSI Ya Kumtext Mwanamke Hadi Akupigie Simu Wa Kwanza - The Choice
Kutumia sms kuanzia wiki hadi mwezi bila kupiga simu ni VIBAYA. Unahatarisha kuitwa boyfriend wa sms, na labda hautakuwa boyfriend wake wa ukweli. Kuondoa hizi athari unapaswa kutumia maujanja haya matatu. Mbinu #1: Toa majibu yasiyokuwa moja kwa moja. Wanawake wanapenda majibu ya moja kwa moja kama wanataka kujua kitu flani kutoka kwako. Mwanamke anawezaRead More