thechoicetz.com
Jenerali Ulimwengu Ashauri Makonda Ashitakiwe kwa Kuvamia Kituo cha Clouds...!!! - The Choice
Share this on WhatsApp Akihijowa na DW mchana huu Jenerali Ulimwengu ameshauri Makonda ashitakiwe… Amesema ni tukio linaloweza kufanywa na viongozi ambao wanajiona hawana mipaka katika utawala wao. Amesema mkuu wa mkoa amelewa madaraka na kwa kufanya tukio hilo ameonyesha kwamba hana kitu chochote kinachoweza kumzuia. Amewaomba wananchi kupata sauti zao katika kutetea haki zao.Read More