thechoicetz.com
Hiki Ndicho Alichokifanya Nuh Mziwanda Baada ya Mke Wake Kujifungua Mtoto wa Kike - The Choice
Share this on WhatsApp BAADA ya mkewe, Nawal kujifungua mtoto wa kike, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ameamua kumzawadia wimbo ikiwa ni njia ya kumshukuru kwa kuwa ni mwanamke wa kipekee kwake kuliko aliowahi kutoka nao kabla hajaingia kwenye ndoa. Akichezesha taya na Mikito Nusunusu, Nuh alisema anajivunia kupata mtoto wa kikeRead More