thechoicetz.com
Hii Ndiyo Sababu ya Rais Magufuli Kutomtumbua Rc Makonda Hadi Sasa - The Choice
Share this on WhatsApp Naamini wengi wenu humu ndani leo mlitegemea mkuu wa mkoa wa Dar kutumbuliwa na mheshimiwa mtukufu rais wa JMT. Imani hiyo naamini iliongezwa na utolewaji wa video ya usalama ya kituo cha habari na burudani cha Clouds ambapo mkuu wa mkoa alionekana akiingia na askari wenye bunduki kwenye ofisi za kituoRead More