thechoicetz.com
HARRY KANE MAJANGA TENA HUENDA AKAWA NJE YA DIMBA KWA MUDA MREFU - The Choice
Share this on WhatsApp Na Yego Sholla Harry Kane ameumia katika kifundon chake cha mguu wa kulia na kuna wasiwasi kwamba huenda akawa nje ya dimba kwa kipindi kirefu , na imeripotiwa kwamba ameumia katika sehemu ile ile ambayo aliumia msimu uliopita na kukaa nje kwa muda mrefu. Kane alitoka nje dakika ya 34 kwenyeRead More