thechoicetz.com
Harmorapa Hana Heshima Kabisa....Amchana Live Master J - The Choice
Share this on WhatsApp Msanii wa ‘hip hop’ nchini Harmorapa amemchana mtayarishaji mkongwe wa muziki wa Bongo Master J kwa kusema hamtambui wala hadhani kama kama anaweza kuwa miongoni mwa ‘Producer’ walioweza ku-hit kwa ngoma kali Bongo. Harmorapa anayetamba na wimbo wake wa ‘Kiboko ya mabishoo’ amefunguka hayo baada ya kutokea maneno makali ya mtayarishajiRead More