thechoicetz.com
Gigy Money Afunguka Suala la Kuwa Ana Ukimwi, Orodha ya Wanaodaiwa Kutoka Naye Yatajwa - The Choice
Video queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea naRead More