thechoicetz.com
Bunge la Marekani lapiga Marufuku Punyeto - The Choice
Share this on WhatsApp Mwanasiasa mmoja mwanamke anachukua hatua isio ya kawaida katika kile anachosema ni sheria kali za uavyaji mimba kwa kuwalenga wanaume wanaofanya punyeto. Lengo la sheria hiyo yake anasema ni kuwalinda watoto ambao hawajazaliwa kila mahali. Ndio sababu anataka mwanamume atakayemwaga mbegu zake za kiume nje ya uke wa mwanamke ama kutengezwaRead More