thechoicetz.com
Baba Diamonda Ampasha Diamond Juu ya Uhalali wa Mtoto Wake Nillan,Adai Lazima DNA Ipimwe - The Choice
Share this on WhatsApp WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kujaaliwa kupata mtoto wa pili ambaye ni Nillan, baba mzazi wa msanii huyo, Juma Abdul amesema kuna ulazima wa mjukuu wake huyo kupima DNA ili kuzima zile tetesi kuwa, si wake.Read More