thechoicetz.com
BAADA YA CHID BENZ,SASA MADAWA YA KULEVYA YAMMALIZA NANDO STAA WA BBA TOKA BONGO - The Choice
Staa aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa – The Chase, Nando ameendelea kudhoofika kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Muonekano wa zamani wa Nando Nando aliyewahi kudai kuachana na matumizi ya dawa za kulevya, alikuwa kipenzi cha wasichana wakati anashiriki kwenye shindano hilo na alitazamiwa kushinda kabla ya kutimuliwa kutokana naRead More