thechoicetz.com
Alichokijibu Nsajigwa kuhusu sababu za Kumpanga Chirwa dhidi ya URA - The Choice
Share this on WhatsApp Alichokijibu Nsajigwa kuhusu sababu za Kumpanga Chirwa dhidi ya URA Yanga jana wamekubali kichapo kwenye matuta dhidi ya URA na kujikuta wanatolewa kwenye michuano ya Mapinduzi kwenye hatua ya nusu Fainali baada ya kufungwa penati 5 kwa 4. Huku Yanga wakikosa penati moja iliyopigwa na Obrey Chirwa, huku waliopata wakiwa niRead More