teknolojia.co.tz
Hii ndio simu janja ya kwanza yenye mkunjo - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Simu janja yenye mkunjo sio kitu cha kujiuliza mara mbili tena iwapo teknolojia hiyo inarudi tena kwani sasa kuna rununu ya kisasa ambayo inakunjika.